Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Miaka mia iliyopita kuna mpiga picha maarufu kule urusi aliitwa Karl Bulla alizaa mtoto naye akarithi fani ya baba yake ya photo journalism akiitwa Viktor Bula. Sasa huyu Viktor Bulla maudhui ya picha zake yakawa hayapendwi na serikali ya urusi ya wakati huo.
Alishtakiwa kwa kuwa mpelelezi nchini Ujerumani na baadaye aliuliwa.
Viktor Bula. RIP COMRADE.