Sijasema hilo mkuu ila kamsome karl bulla na victor bulla walipiga picha negative kwa wakati huo 1920+ negative laki moja na thelathini 130000.Duh!.kumbe na watanzania wanapotea kunauwezekano 100% wanapotezwa kwenye vituo vya polizi?
Nadhani hiyo ingefaa zaidi kwa Azory Gwanda aliyekuwa Kibiti, ambaye ni mwandishi wa habari kuliko Saanane ambaye ni mwanasiasa.Miaka mia iliyopita kuna mpiga picha maarufu kule urusi aliitwa kali bula alizaa mtoto naye akarithi fani ya baba yake ya photo journalism akiitwa vikta bula. Sasa huyu vikta bula maudhui ya picha zake yakawa hayapendwi na serikali ya urusi ya wakati huo.
Alishtakiwa kwa kuwa mpelelezi nchini Ujerumani na baadaye aliuliwa.
Victor Bula. RIP COMRADE.
Ulimsikia yule DC aliyetumbuliwa?Duh!.kumbe na watanzania wanapotea kunauwezekano 100% wanapotezwa kwenye vituo vya polizi?
Alafu kweli dada BAK sijamuona kitambo ujue kitaa hiki.