Kisa cha Harmonize kukimbia WCB Wasafi na kisa cha Dogo janja kumkimbia Madee Ali

Ila jamaa atachuja mda si mrefu na kisajiingiza kusifia wanasiasa ajue anagawa wafuasi wake
 
Mm nasema hivi kama kondeboy ameingia kwenye hii milango cjui majukwaan kwa wanasiasa mda ndo utasema.
 
Mwacheni harmo nae akajaribu kujenga empire yake. Japokuwa nina wasiwasi huyu dogo harmo anatembelea nyota ya Dimo. Ila WCB ni baba lao wana vipaji vingi sana
 
sawa platinumz tumekusoma
 
Kiufupi harmo hatakuja kutoa hit Kali tena Kama mwanzo cos mashabiki wa wasafi wengi waliokuwa wanamsapoti wamemuacha hata ukiangalia ile attention alizokuwa anaipata WCB sasa haipati
Kwani Utupu wenyewe Wa dogo rajabu unasemaje?
 
Nimeteseka kumjua huyo meneja, maana kwenye nafasi yake ukamtype Harmonize, andiko limepoteza uzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…