#COVID19 Kisa cha kwanza cha Covid-19 chagunduliwa Korea Kaskazini

#COVID19 Kisa cha kwanza cha Covid-19 chagunduliwa Korea Kaskazini

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Korea Kaskazini imegundua kisa cha kwanza kabisa cha maambukizi ya Covid-19, kulingana na vyombo vya habari vya serikali, ambavyo viliita hali hiyo "dharura kuu ya kitaifa."

Imeripotiwa kuwa, Sampuli zilizokusanywa kutoka kwa kundi la watu katika Mji Mkuu wa Pyongyang waliokuwa na homa mnamo Mei 8 zimethibitishwa kuwa na virusi vya kuambukiza vya aina ya Omicron

========

North Korea has identified its first ever case of Covid-19, according to state media, which called the situation a "major national emergency."

It's unclear how many infections have been detected but state-run news agency KCNA reported on Thursday that cases of the Omicron variant had been found in the capital Pyongyang.

Samples collected from a group of people experiencing fevers on May 8 tested positive for the highly contagious Omicron variant, KCNA reported.

An outbreak of Covid-19 could prove dire for North Korea. The country's dilapidated health care infrastructure is unlikely to be up to the task of treating a large number of patients with a highly infectious disease.

North Korea had not previously acknowledged any coronavirus cases, though few believe that a country of around 25 million people has been spared by a virus that has infected millions worldwide.

On Thursday, North Korean leader Kim Jong Un ordered lockdown measures in all cities and directed the distribution of medical supplies the party had reportedly stocked in case of a Covid emergency, according to KCNA.


Source CNN
 
Kwani wao waliikwepa vipi au vikwazo vilisaidia?

Mabeberu ndio huleta covid.
 
Covid ya 2019 ndio inaingia leo Pyong Yang?
 
Duh hadi dikteta kiduku anaheshimu utaalam na kutoa taarifa huku dikteta uchwara jiwe akijifanya mjuaji korona ikamfyeka
 
Huyu jamaa ana akili sana[emoji23].

Hiki kisa ni cha mchongo, covid ipo duniani kote na hata kwake ilikuwepo tu. Kuna kitu anatengeneza.
 
Pole yao kweli na kama ni phase 1 au 3 itakuwa poa kidogo ila kama ni phase 2 waandae viwanja.
 
Back
Top Bottom