Kisa cha kweli: Jinsi nilivyosengenywa na "kubaguliwa" na Watanzania wenzangu nchi ya ugenini

Kuna kipindi nilikuwa nakaa UG ndio nilikuwa nimeingia sasa maeneo flani hivi wanaita Kansanga nilikuwa na mwanangu ananielekeza jinsi ya kupata nyumba ya kupanga maana nilifikia kwao.

Sasa kwakuwa tulikuwa mgeni na mazingira miaka hiyo kuna njia moja hivi ilikuwa ya lamii unaelekea hosteli kumbe ni za wadada sasa wakti tuna pandisha tukaona mtoto mkali balaa anakuja nikasema ngoja tumuulizee.

Tukamsimamisha akagoma akawa kama ana nyodo flani hivi.

Bwana weee nikajua demu hajuii kiswahilii maana mimi mgeni, nikaanza ku mkejeli.

Kama hivi.

"Huyu anajua tuna mtongoza nini k*!ma ake"
"Demu mwenyewe wa kawaida sana kwanza kadumaa"
"Hawa mademu bwana"
Yanii kutuelekeza anaona bonge la ishuuu"
"Jamaa akawa anamfuata "we achana na huyo boyaa analete pozii"

Kwakuwa jamaa yangu alikuwa anapenda totozi ali mrudia kwa ustaarabu.

Mara yule demu akafungukaa "mbona mwenzako ananitukana na kunisema nime mkosea nini kwani kuelekeza si option ya mtu.

Mimi mda huo niko mbali na mwambia jamaa achane nae tusepe

Kurudi akasema demu mbongo bwana

Dhaaaa roho iliuma sana. Ukizingatia niko nchi za watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliwanyoosha kujisikia kama wahaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii imeshawahi kunikuta siku moja tupo na shoga yangu kituo cha daladala tunasubiria daladala ije tupande tumesubiri sana kama lisaa limoja hamna gari pembeni yetu yupo mzee mmoja amebeba mkoba wake umechakachakaa tukaanza kumsema kipare mimi na huyo shogaangu tukamsema sana mara daladala ikaja tunashangaa yule mzee anatuambia kwa kipare twendeni watoto wangu ..aiseee tuliona aibu hata kupanda ile gari tulishindwa mzee akapanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aibu sana....nadhani toka siku hiyo mlikoma
 
Akhsante sana.
Nilichokiona hapa ni kwamba na wewe ni mmoja wa wahenga hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tuna majungu sana mtu anaweza kujifanya kukuongelea hata bila kukufahamu kisa kapewa stori na jamaa, na Watz tunadharau sana kazi za watu wengine
 
wapare mnasengenya sana nyie[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…