Kisa cha kweli, mbingu ipo na moto wa jehanamu upo

Kama matendo mema yanakupeleka mbinguni , je kuna haja gani ya kuokoka?
Kuokoka ni teketi ya usajili mbinguni lakini baada ya hapo unatakiwa kuishi kama Mungu anavyotaka sio vingenevyo!! Tofauti na hapo jina lako litaondolewa mbinguni
 
Hadithi ya Abunuasi
Sio lazima uamini mkuu!! Lakini kwa sababu unaelekea huko, utajionea tu siku moja, sema sasa hakutakuwa na chance ya kurudi tena!! Mambo ya Mungu mara nyingi huonekana kuwa ya kipumbavu lakini kumbe ndo yenye uzima( rejea kisa cha Lazarus na tajiri), Tajiri Naye laiti angeambiwa hivyi huenda angekataa!! Na leo yupo motoni anatamani kurejea duniani lakini hana nafasi hiyo tena
 
Acha uongo.
 
Mambo ya Mungu na sayansi ni vyitu viwili tofauti, sayansi ya wanadamu inaishia duniani hapa, lakini sayansi ya Mungu ni above and beyond the grave, ndo maana huyo huyo mwanasayansi Naye mda ukifika anakufa pia!! Kuna maisha baada ya kifo, na umilele wako utategemea how you live in this life
Waebrania 9:27 Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu;
 
Acha uongo.
Ufunuo wa Yohana 21:8 Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
 
Kuna washkaji wameenda kukata kuni kuchochea moto wake,yupo chumba maalumu cha mateso haturuhusiwi kuingia,kuna cctv kila mahali
Wagalatia 5:19 Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, Wagalatia 5:20 ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, Wagalatia 5:21 husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.
 
Angekuja mwenyewe kusimulia hapa
Yohana 14:1 Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi. Yohana 14:2 Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali. Yohana 14:6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
 
Ufunuo wa Yohana 21:8 Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
Sifa zote hizo unazo.
 
Hiyo ni kwa mjibu wa mawazo yako, lakini yeyote ambaye anamfuata Yesu lazima afuate njia za Yesu na Amuishi Kristo ndani yake, huwezi kusema unamfuata Yesu huku mkitofautiana Ubatizo
Waefeso 4:5 Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja.
 
Daaaah hii nchi sijui ndo ngumu au watu ndo wagumu? , Hapa pana nichanganya sana
 
Sifa zote hizo unazo.
1 Wakorintho 2:11 Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mungu.
 
Daaaah hii nchi sijui ndo ngumu au watu ndo wagumu? , Hapa pana nichanganya sana
1 Wakorintho 2:14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni. 1 Wakorintho 2:15 Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu.
 
Acha upuuzi wewe! Ikaja mijitu kumlaki sio? Wakaja malaika pia? Shennnnnzy kabisa

Yaan kungekuwa na raia karibu yako ningemuagiza akuzabe kelbu moja la maana akutoe wenge kidogo..
1 Wakorintho 2:14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…