Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Wewe ulisikiaje kuhusu hichi kisaWahenga wa muziki wa dansi nchini hebu tukumbushane kisa hicho cha kweli na Nini hatima yake. Nakala kwa Mtangazaji mkonhwe na Manju wa Muziki Masoud Masoud
Dota mambo !Mimi nitakuja kuelezea kisa Cha kuandika ile nyimbo ya Siri ya nini.. Mbondei alikua na sauti yakuimba yule
Apansia, Manka, mkunde, Maminja, Aisesia, nimekuita majina yote ujue🤣🤣🤣Dota mambo !
🤣🤣 Mwisho wa siku uandike tusiApansia, Manka, mkunde, Maminja, Aisesia, nimekuita majina yote ujue🤣🤣🤣
Nasubiri wahenga wake na Hadithi kamiliIlikuaje .walilalaje?
Mgonjwa na mama mkwe kitandani au ?
Niko vizuri wewe we hujaoga hapo?🤣🤣 Mwisho wa siku uandike tusi