Kisa cha Langa Kileo na Chid Benz mpaka kutoa kolabo "Ninaposimama"

Kisa cha Langa Kileo na Chid Benz mpaka kutoa kolabo "Ninaposimama"

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
11,640
Reaction score
24,066
Inasemekana Langa alikuwa miongoni mwa "WACHOYO WA KOLABO" na hata ile NINAPOSIMAMA, Chid alimchana akiwa booth kwa Lamar na Dunga na kusema, sikubali, mtu gani unafanya ngoma mwenyewe tu, hii, tunafanya wote na ndipo akaja na " ONE TO ONE NA AMBII KA REFARII, RECORD HII YA 41" Ebana ee!! Hii ilikuwa Bonge la ngoma.

Chid Benz Ali-flow kwa umakini na kunata na beat ni moja ya kolabo nzurii kwenye TANZANIA HIP-HOP

Unamkumbuka zaidi chid Benz au langa kwa ngoma gani? Zaidi.

Je, Langa na Chid Benz wameacha alama gani ambazo zinafanya usiusahau uwepo wao kwenye game?
 
Mitaa inaniamini kama kiongozi wa dini,mimi ghetto super star ukombozi wa nini? Ukitaka kumficha mwafrika weka ujumbe kwenye vitabu mimi natumia mziki kufikisha ujumbe kwa watu ,usitembee peku peku bila kuvaa viatu.
😊 Jamaa alikua ana mashair mazuri SANAA..

Aliwai kusema "KIINGEREZA BILA HELA NI SAWA NA KUPIGA KELELE""
 
Back
Top Bottom