Kisa cha Mama Esta Mlokole na Vodabima

Kisa cha Mama Esta Mlokole na Vodabima

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
VODABIMA: Habari yako Mama Esta , hapa ni Vodacom, tunakukaribisha kujiunga na bima yetu. Ukifa leo watoto wako watasomeshwa, ukipata ajali ukapata ulemavu utatunzwa hadi kufa kwako. Ukiugua magonjwa mazito utatibiwa.


Mama Esta mlokole: Mshindwe na mlegee kwa jina la Yesu. Sintokufa bali nitaishi ili nipate kuyaona na kuyasimulia matendo yote mema ya Bwana Mungu wa majeshi. Mungu wa Israel, Mungu wa Isaka Mungu wa Yakobo.
 
Back
Top Bottom