Kisa cha Manka: Aliambiwa apike wali nazi na mumewe akaweka nazi nzimanzima

Kisa cha Manka: Aliambiwa apike wali nazi na mumewe akaweka nazi nzimanzima

Mdukuzii

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2022
Posts
2,552
Reaction score
6,422
Sifa moja ya mwanamke ni kujua kupika

Kuna hii story ya Manka aliolewa na jamaa wa pwani akaachiwa mazagazaga na mumewe akaabiwa apike wali nazi.

Alichofanya anakijua mwenyewe, nazi ikawekwa nzimanzima kwenye wali. Manka anawakilisha wanawake wengi msiojua kipika.

Kuna wakati wanaume tunachepuka kufuata misosi mitamu huko machepukoni. Presha sina, Sukari sina kila siku michemsho
 
Kama unampenda si umfundishe kupika! Peleka VETA huko akasomee mapishi. Wewe kama unachepuka kusingizia unafata misosi nje huo ni Uhuni wako tu.
Mchaga hata umpeleke chuo dubai utapikiwa michemsho na makande
 
Sasa hapo mjinga nani, mwanaume aliemwambia mkewe alike kitu asichokijua au Mwanamke?
 
Back
Top Bottom