Mom JF-Expert Member Joined Oct 13, 2009 Posts 708 Reaction score 31 May 28, 2010 #21 FirstLady1 said: siamini kama wewe huwa unasoma hadithi ..inawezekana unaprint unapeleka kwa wife anasoma kisha anakusimulia... Click to expand... te he haa! kumbe kaizer ni mvivu wa kitabu!
FirstLady1 said: siamini kama wewe huwa unasoma hadithi ..inawezekana unaprint unapeleka kwa wife anasoma kisha anakusimulia... Click to expand... te he haa! kumbe kaizer ni mvivu wa kitabu!
Regia Mtema R I P Joined Nov 21, 2009 Posts 2,970 Reaction score 866 Jun 1, 2010 #22 hata kama ni kisa cha kweli kwani ametajwa yeye humu?jamani hii si hadithi tu?iendelee,tuendelezee utamu wetu bila kumsikiliza huyo mtu,mbona wapo wengi tu walioguswa na hii hadithi?
hata kama ni kisa cha kweli kwani ametajwa yeye humu?jamani hii si hadithi tu?iendelee,tuendelezee utamu wetu bila kumsikiliza huyo mtu,mbona wapo wengi tu walioguswa na hii hadithi?