Kisa cha msanii Y-Dash na uchawi wa Igogo Mwanza

Okay mimi pia Mwanza nimekuja Mara tatu. Mara ya kwanza kwa ability ya research. Mara ya pili for other official issue. Mara ya tatu nilikuja kufanya utalii wa kingono. Wanawake wa Mwanza nawasifu
🀣
 
Watu wa mkoa wa Rukwa tumepata taabu sana kuhusishwa na Habari za kichawi na ushirikina,sasa maeneo yenye uchawi ndo yanajulikana.
Umepata pakujifichia 🀣

Niliwahi kukutana na mtu kutoka rukwa baba Yao alikimbia kwao hakurudi Tena mpaka ana zeeka sababu ni hiyo kuogopa witchcraft
 
Okay mimi pia Mwanza nimekuja Mara tatu. Mara ya kwanza kwa ability ya research. Mara ya pili for other official issue. Mara ya tatu nilikuja kufanya utalii wa kingono. Wanawake wa Mwanza nawasifu
Kuna UTI kali kuliko mikoa mingine
Next time Kuwa makini
 
Duh sikuwaza kama na igogo inaweza kuazishiwa uzi jamii forum, wale tuliosoma igogo azimio miaka hiyo tukubushane majina ya walimu na wanafunzi maarufu.. KUNA MWALIMU LEKWA ALITUCHAPA SANA KUKARIRI TABLE. MWALIMU OMARY MWALIMU SAID, MWALIMU RAFAEL, MWL DOTTO, MWL YOHANA, MWL MANYILIZU MWL.SWA... KUNA SIFA, KIPIGO, SILAS MASWE, JUMA,NASRA, FATMA,SHUKURU,ZAMDA BIBIANA, ISAKA,MATHIAS, SIRAJI NASRA.ELIYA,MASUNGA WA DOKTA SHIKASHIKA,FAITA,BENE,BARAKA WA KWA MAMA MCHUGAJI WA AGRIKANA, HAPPY,KISAGANYA,YAHAYA, ISLAM{TANZANIA ONE HESABU} SILAJI.MUSADUH NI WENGI.
 
Ushirikina kama hauna uwezo wa kukufanya kuwa kama bakhressa maana yake hauna nguvu

Mara nyingi nikitazama maisha ya watu wanaochoma dawa bado sioni kama ni hatua ya maana wamepiga hatua .
 
gentleman,
we ndezi sana aise, dah
 
Naelewa unachosema lakini swali ni how do we differentiate kati ya negative energy na vitu vya kawaida kama stress, trauma, mazingira mabaya au peer pressure? Maana vyote vinaweza ku influence decisions vile vile.
Vyote hivyo ulivyo vitaja vina fall under " Negative energy "
 
Facts
 
Vipi kuhusu uchawi na wachawi Igogo? Una experience yoyote kuhusu hao watu ndani ya Igogo? Y Dash ulisoma nae?
 
Hizi nguvu za kichawi wangetumia kwenye maendeleo.
 
Very interesting, ukipata wasaa share nasi observations na findings zako.
Natumaini one of literature ilikuwa research ya Dr. Mesaki.
Dr Mesaki wa Changanyikeni, UDSM?

Yule mzee aliishiaga kuwa mganga wa kienyeji bana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…