Kisa cha msanii Y-Dash na uchawi wa Igogo Mwanza

Sema uchawi nao bana yani kiwanja tu mtu anakula watoto wa watu jamani! Dahh sijui walizindika nini pale wakawa na roho mbaya hivi..
 
Hakikisha mishe zako za kupata maokoto watu hawazielewi;....hii ndo key point ya wachawi, watu wabaya, vijicho, husda.

Sasa watoto wa 2000 hawatokuelewa wakipata rizki tu wanakimbilia fb na status za WhatsApp
 
Naelewa unachosema lakini swali ni how do we differentiate kati ya negative energy na vitu vya kawaida kama stress, trauma, mazingira mabaya au peer pressure? Maana vyote vinaweza ku influence decisions vile vile.
Nadhani kuna vipimo vyake maalum katika hayo mambo ya hizo energy ila kwa sababu jamii ina practice sana uchawi basi ndio maana hutokea kuhusisha sana uchawi pale anapoona maharibiko ya mtu au mafanikio.
 
Ushirikina kama hauna uwezo wa kukufanya kuwa kama bakhressa maana yake hauna nguvu

Mara nyingi nikitazama maisha ya watu wanaochoma dawa bado sioni kama ni hatua ya maana wamepiga hatua .
Mkuu hapo kariakoo kuna imani za kichawi balaa pamoja na kuwa wanafanya kazi kwa bidii ila bado kuna imani za kichawi mno.

Unajua mkuu uchawi sio miujiza ya kwamba unaweza kutamani tu kitu na ukatamka kikatokea.
 
Hizi nguvu za kichawi wangetumia kwenye maendeleo.
Uchawi si nguvu tu bali ni ujuzi, ndio maana kuna wanaoitwa wachawi ambao hawa wana ujuzi zaidi wa kutumia uchawi katika mambo ya uharibifu ila ukawakuta hawana ujuzi wa kutumia huo uchawi kwa mambo mazuri kama ilivyo kwa wanaoitwa waganga.
 
Mkuu hapo kariakoo kuna imani za kichawi balaa pamoja na kuwa wanafanya kazi kwa bidii ila bado kuna imani za kichawi mno.

Unajua mkuu uchawi sio miujiza ya kwamba unaweza kutamani tu kitu na ukatamka kikatokea.
Je kama uchawi una nguvu mbona wasiwe kama bakhressa..?
 
Nadhani kuna vipimo vyake maalum katika hayo mambo ya hizo energy ila kwa sababu jamii ina practice sana uchawi basi ndio maana hutokea kuhusisha sana uchawi pale anapoona maharibiko ya mtu au mafanikio.
Ni ishu ambayo imekaa kimtazamo wa mtu mmoja mmoja sana.
 
Kwenye tafiti zako za uchawi nini umegundua? What is the secret behind uchawi kuwa kwenye mrengo wa kukomoana kuumizana kuuana na kila jambo baya? Hakuna uchawi mzuri tutengeneze hata supersonic plane?
Stay tuned. Nitakuja na ripoti kamili soon.
 
Hakikisha mishe zako za kupata maokoto watu hawazielewi;....hii ndo key point ya wachawi, watu wabaya, vijicho, husda.

Sasa watoto wa 2000 hawatokuelewa wakipata rizki tu wanakimbilia fb na status za WhatsApp
100 percent facts. Shida ni pale unapokuwa unapiga mishe ambayo ni ngumu watu kutokujua unacho kifanya. Mfano : Muziki, unacheza mpira, mtangazaji kwenye radio au tv, mwanasiasa etc. Hapo lazima na wewe Uwe mchawi.

Wanasema formula namba moja ya kuendelea Afrika ni kuhakikisha haurogeko
 
Je kama uchawi una nguvu mbona wasiwe kama bakhressa..?
Sio sahihi mkuu kwamba mtu kuwa kama Bakhresa iwe ndio kipimo cha nguvu ya uchawi, kwa sababu nje ya uchawi tumekuwa tukiambiana kwamba ili mtu ufanikiwe katika maisha ni kufanya kazi kwa bidii lakini tukisema tufanye kipimo cha nguvu ya kufanya kwa bidii ni kuwa kama Bakhresa basi tunaweza kuhitimisha kuwa kufanya kazi kwa bidii hakuna nguvu kwenye kuweza kufanikiwa katika maisha maana wenye kufanya kazi kwa bidii ni wengi ila hawajaweza kuwa kama Bakhresa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…