Sio haki kabisa bro. Halafu ukute polisi aliyemsingizia jamaa bado anadunda mtaani, bila kukamatwa wala niniSerekali lazima iwee na utaratibu wa kuwalipa Hawa watu fidia,miaka kumi na mojaa mnampa buku real?
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Wanasheria wa Bongo wao wanataka pesa mbele! Hawana akili za kukamata kesi zenye fidia kubwa Kama hizo na ku invest kwanza!!Nashauri kama Kuna wanasheria humu jamii forum au unamjua mwanasheria yoyote kwa umoja wenu muende mukamsaidie huyu bwana kudai fidia, tena fidia ya UHAKIKA, hata zile jumuiya za kimataifa za wanasheria au wanasheria wasio na mipaka tuwatafute wamsaidie huyu bwana
Nchi yetu ina laana nyingi,miongoni mwao ni hizi zinazotokana na kubambikia watu kesiKubambika mtu kesi ni jambo la laana
Nimecheka kwa kusikitika sana, hii dunia hakuna haki, wanaotafuta usawa waongeze sauti na kelele, daaa!!Nimesikia mwanasheria mmoja (nadhani nae ana PhD) akihojiwa na clouds na kusema kufumaniwa na mke wa mtu sio kosa la jinai Ila ukimdhuru mgoni wako una kosa la jinai.
Kwanza nilicheki masikio yangu Kama yako vizuri ndio nikakumbuka Kuna jamaa alifumaniwa na waliomfumania wakamfanya kinyumenyume. Huyo aliyemfumania mwenzake Leo hii Yuko gerezani.
Kumbe ndio maana wachungaji wanajichukulia wake za watu nje nje.
Kumbe Sheria inasema ukimfumania mtu inabidi uwe mpole.
Nikikukuta unaiba mapapai yangu shambani nalo Hilo sio suala la serikali inabidi unilipe fidia. SI NDIO??Swala la kufumaniana ni la binafsi kati yenu hivyo serikali haihusiki, inabidi mkubaliane tu kulipana fidia au kukabidhiana mke au mume. Hiyo aliyejichukulia uamuzi wa mkimbo kumgegeda mwenzake aliihsmisha kesi toka kwa mtu na mtu kuwa mtu na serikali yaani sasa ni jinai.
Wizi si suala binafsi, wizi ni kosa la jinai.Nikikukuta unaiba mapapai yangu shambani nalo Hilo sio suala la serikali inabidi unilipe fidia. SI NDIO??
Hiyo buku ni nauli ya kukutoa eneo la gereza uende uendako, ukiwa mjanja unaweza buku ikazalisha zaidi na zaidi mradi tu vidole vyako viwe vyepesi kwenye mlango wa daladala, mjini fomu siksi.Serekali lazima iwee na utaratibu wa kuwalipa Hawa watu fidia,miaka kumi na mojaa mnampa buku real?
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
I say to hell with the law.Wizi si suala binafsi, wizi ni kosa la jinai.
Duuuh kabisa aiseeNashauri kama Kuna wanasheria humu jamii forum au unamjua mwanasheria yoyote kwa umoja wenu muende mukamsaidie huyu bwana kudai fidia, tena fidia ya UHAKIKA, hata zile jumuiya za kimataifa za wanasheria au wanasheria wasio na mipaka tuwatafute wamsaidie huyu bwana
Uko sahihi kabisa Mkuu wangu! Jitihada zinahitajika sana ili tumsaidie ndugu yetu huyu!Nashauri kama Kuna wanasheria humu jamii forum au unamjua mwanasheria yoyote kwa umoja wenu muende mukamsaidie huyu bwana kudai fidia, tena fidia ya UHAKIKA, hata zile jumuiya za kimataifa za wanasheria au wanasheria wasio na mipaka tuwatafute wamsaidie huyu bwana
Kwako wewe na waaminio nyungu.I say to hell with the law.
Traditional methods which are speedy and effective will be applied.
Inawezekana uchawi haupo Ila
LIMBWATA NA USINGA vipo
I say to hell with the law.
Traditional methods which are speedy and effective will be applied.
Inawezekana uchawi haupo Ila
LIMBWATA NA USINGA vipo
Miaka 31 bobMore than 11 years wasted.
Dah
Inategemea. Kuna wanaofumania na kuua mgoni wake lakini wanaachiwa. Kwa mfano wanasema umetoka zako shambani kulima ukasukuma mlango wa chumbani ghafla ukakuta mke wako kitandani na jamaa. Na wewe kwa mshtuko na hasira ukamtandika jembe moja kali sana la kichwani na kuua. Sheria inaweza kukulinda kwani utajitetea uliua kwa hasira na hukuwa na muda wa kufikiri. Kuna kesi nyingi tu za aina hii watu wameachiwa au kufungwa kifungo kifupi sana. Mbaya ni ile inaonyesha kabisa ulikuwa na muda wa kutafakari na pengine ukarudi nje ukachukua silaha ukaanza kumashambulia mpaka akafa. Kinachoangaliwa ni ile hali ya ''premeditation'' isiwepo bali iwe umeua kwa kupoteza uwezo wa kufikiri kwa ajili ya hasira kali. Kuhusu yule aliyemfanya kinyume mgoni wake, ni kweli alifungwa nadhani miaka 30 au maisha (sikumbuki vzr) ila alifanya kosa la kwenda kuanika zile picha kwenye mtandao. Angekuwa ametafuta njemba kimya kimya ikamfanya mgoni wake huku anarekodi (wafunike sura) na yeye asijionyeshe asingepatwa na masaibu hayo. All in all mimi nadhani dawa ni kumtimua mke wako japo wakati mwingine hasir zinakufanya upoteze mwelekeo. Kuna clip moja iko Youtube jamaa fundi umeme huko Arusha kakatwa masikio baada ya kukutwa amebana kwenye michongoma usiku na mke wa mtu. Eti akajitetea alikuwa anamwekeza namna anavyoweza kuwasiliana na Polepole wa CCM amsaidie kupata shule.Nimesikia mwanasheria mmoja (nadhani nae ana PhD) akihojiwa na clouds na kusema kufumaniwa na mke wa mtu sio kosa la jinai Ila ukimdhuru mgoni wako una kosa la jinai.
Kwanza nilicheki masikio yangu Kama yako vizuri ndio nikakumbuka Kuna jamaa alifumaniwa na waliomfumania wakamfanya kinyumenyume. Huyo aliyemfumania mwenzake Leo hii Yuko gerezani.
Kumbe ndio maana wachungaji wanajichukulia wake za watu nje nje.
Kumbe Sheria inasema ukimfumania mtu inabidi uwe mpole.
Ni kweli, mfano huyo jamaa wameshamuharibia maisha yake kwa uzembe wa maafisa wa PolisiSerekali lazima iwee na utaratibu wa kuwalipa Hawa watu fidia,miaka kumi na mojaa mnampa buku real?
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
You are not paying attention.So unampiga Limbwata jamaa aliekua anaiba shambani kwako ili iwe aje Chief?!