Kisa cha Mwanamke wa Marekani kuiba Kinga ya Billionea

Kisa cha Mwanamke wa Marekani kuiba Kinga ya Billionea

errymars

Member
Joined
Dec 17, 2019
Posts
98
Reaction score
285
Mwanamke mmoja wa miaka 40 wa huko marekani aliyekua akifanya kazi ya kupiga deki na kusafisha hotel moja ijulikanayo kama LAS VEGAS HOTEL,

Aliibia kondom iliyotumiwa na bilionea mmoja aliyetembelea hotel hiyo na kufanya mapenzi na mwenza wake aliyekuja na ye pale kisha wakaiacha kondom chumbani ikiwa na manii mwanamke huyo msafisha hotel aliichukua kondom na kujimiminia manii yaliyokua kwenye kondom hiyo

Alipata ujauzito na baadae alijifungua salama na akaenda mahakamani kudai child support toka kwa billionea aliye acha kondom kwenye ile hotel,bilionea alikataa lakini baada ya vipimo vya vinasaba ikagundulika kua kweli mtoto alikua wake na mwanamke alishinda kesi hivyo jamaa aliamuliwa kutoa pesa za matumizi kwa mama yule ili kumlea mtoto.
 
Back
Top Bottom