Kisa Cha mwanamuziki Pauline Zongo aliyewahi kutamba na kibao Cha Mateso Ya Ndoa wengine hukiita Ndoa ya Mateso

Juz nlimuona akihohiwa na Kina juma lokole kwenye kipindi chao cha umbea ICU .adse amechoka mnoo .....ametolewa vitu vyake njee ..kisa ameshindwa kulipa kodi ...analala njee ..anakaa mitaa ya kinondoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…