Kisa cha Mwarabu muuza madawa ya kulevya Kariakoo: Ilikuwa balaa na faida

Laki Tatu dola?? Mzee umesha uaga umasikini
 
Ok ... leo ndio nimejua kwanini umekua mfia chama cha kijani mpaka mishipa ya shingo imekusimama kwa kutetea uovu wa CCM

Kumbe wewe ni mmoja wa wale vijana walioishi kwa upendeleo wa chama kupitia ufisadi wa Baba zenuuuuu Okyyyy!!!

Kiasi utetee chama kisitoke madarakani ili mrija usikate ... hujui shida ndg yangu wakati sisi tulikua tunafua nguo za shule kwa Magwanji wewe ulikua unafua kwa Foma

Unahaki ya kuutetea udhalimu na ufisadi wa magufuli ni hali yako kaza buti we sio mwenzetu
 
Wala usiendelee chai yako ishakuwa chungu, unajua dola laki 3 ni karibu milioni mia saba? (700,000,000/=) unajua hicho kitu?

Dola laki 3 ulitia kwenye socks? Socks zako zina ukubwa gani mwenzetu mtoto wa muambata wa kijeshi?
Huyo ni fala analeta story za abunuasi
 
Dola laki 3 halafu uko jamii forums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…