Gudasta
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 501
- 788
Hii leo tunafunguwa rasmi daftari la Baranamiji ya Gerezani ambapo tunaangazia kisa cha Mzee Julius Wambua anayetumikia kifungo cha maisha kwa kumbaka mwanawe ila asilolijuwa ni kwamba mwana anayedaiwa kubakwa amerudi tena na kupasua mbarika akidai kwamba mamake mzazi ndiye aliyemshawishi kutoa ushahidi wa uongo alipokuwa mdogo lau sivyo angekiona cha mtema kuni ila kwa hivi sasa amekuwa mtu mzima na maisha yake ila hana amani, na ili amani ipatikane ni sharti aseme ukweli.
Kwa mara ya kwanza runinga ya Citizen imewakutanisha wawili hawa ndani ya gereza la Kamiti.
Kwa mara ya kwanza runinga ya Citizen imewakutanisha wawili hawa ndani ya gereza la Kamiti.