Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,722
- 11,336
Kwanini uhofie ugonjwa ambao asilimia karibu 98 wanapona.Hata kabla ya Corona kila siku sehemu za makaburi watu walikuwa wanazikwa je walikuwa wanakufa kwa Corona?Hakuwa na maana kwamba eti anaudharau huu ugonjwa bali alitaka watu wasiwe na hofu. Na kupata matatizo ya kiasaikolojia hivyo watulie na kufanya kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Muhimbili itoe hapo haipokei wagonjwa wa corona.[emoji1664] Magufuli akiwa Dodoma kanisani alisema:-
1. Corona ni kaugonjwa kadogo
2. Tusitishane
3. Tusipaniki
Watu walichukizwa na maneno yake ndipo akaenda ikulu kutoa speech rasmi na aliandikiwa.
Viongozi wetu hawako serious enough kwenye hi Vita.
Tungefunga mipaka yetu tangu awali Hali isengekuwa mbaya kiasi hiki.
Mwanzoni wagonjwa walikuwa wakipelekwa Mloganzila, Sasa Amana na Muhimbili ni hospital za Corona, lakini tunaambiwa tuna wagonjwa 170 tu. Je watu 170 hawatoshi mloMloganz Hadi wapelekwe na hospital zingine?
Watu wanataka aseme mkae ndani halafu hapo hapo wadai chakula.Wakae wakijua imeshatangazwa stay at home.Sasa watu mnasubiri Tangazo Gani jingineMwenye kazi yake au alieajiriwa hakuna anae taka kufungiwa nifungiwe halafu kazi yangu afanye Nani? Anae Lilia kufungiwa Hana kazi njaa inamsumbua anawaza akifungiwa atapewa na msosi
Hebu tuekee hapa hayo maagizo na hatua za maana walizochukua? Au maagizo ya kufanya maombi ya siku tatu?Tutapita katika hili, nawaamini viongozi wangu na nawafuatilia maagizo wanayotoa kwa ukamilifu.
Nimesema maagizo yanayotolewa na viongozi wangu,Kama si mtanzania huwezi kuyajua.Hebu tuekee hapa hayo maagizo na hatua za maana walizochukua? Au maagizo ya kufanya maombi ya siku tatu?
Kuna mijitu inapenda mteremko sana, au wanahisi watakuwa wanaletewa msosi kila siku? 🤣 🤣Watu Kama wanajua kuwa Ni Rahisi kujifungia ndani kwanini wasijifungie ndani wenyewe bila kuambiwa.Wameshaaambiwa Stay at home.Wao wanataka Rahisi alazimishe ili wapate Cha kusema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Wahenga hawakukosea waliposema mganga hajigangiWafia dini wajifunze Kwa mama Rwakatale..
Kama alikuwa anaponya ..mbona hakujiponya?
Kwann akili yako ipo katika kujaza tumbo tu? Fikiria pia namna ya kuokoa maisha yako na ya wengine. Hili janga sio lele mama kama mlivyozoea kusema “Huu ni upepo utapita“. This is real. hakuna vifaa tiba vya kuokoa uhai wa watu katika hospitali zetu, hakuna chochote zaidi ya siasa na wewe bado unawaza tumbo tu.Kuna mijitu inapenda mteremko sana, au wanahisi watakuwa wanaletewa msosi kila siku? 🤣 🤣