Kisa cha Rais Magufuli na Rais wa TUCTA aliyekuwa na vyeti Feki

Ila Mwendazake JPM alikuwa Mwamba kweli kweli. Zaidi ya mwaka na nusu kapumzika zake lakini JF Jukwaa la Siasa bado linadumu kwasababu ya jina lake. Kama Mayahudi walivyosema, "hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu.."! Nami nadiriki kusema, "Hakika JPM alikuwa Mwamba na Jiwe hasa..."!
 
Hizo shida zote utatuzi wake umo ndani ya katiba mpya.

Tupambane kuipata rasmu ya Warioba
 
Hawa vijana wa sasa hivi matumizi ya mihadarati yamewazidi.
nani alimshambulia kwa risasi TUNDU LISU na kwann? mbona hajakamatwa hata kuku anayeshukiwa?
Nani alimpiga risasi had mauti AKWILIN AKWILIN? kwann walifungwa wengine bila polisi yule kukamatwa?
yupo wapi Ben Raib Sanane? nani alimteka kosa lake ni nini? yupo wapi Anzory Gwanda? waliomuua wameshtakiwa kwenye mahakama gani?
Nani Alimua Alphonso Mawazo yupo wapi? mawazo aliwafanya ninini cha mno hadi mkaamua kumua?
KUHOJI HAYA SIYO KUWA NA VYETI FEKI LA HASHA
 
Subhanallah!Yarabi roho yangu miye!Karibu ustaadh tulime vitunguu hapa Mtandika!Karibu kurbia yakheee!
 
Hizo shida zote utatuzi wake umo ndani ya katiba mpya.

Tupambane kuipata rasmu ya Warioba
Tunahitaji rasimu ya wananchi maana ya warioba ina mtazamo wa kisiasa zaidi
Inaelezea na kujikita sana kwenye mgawanyo wa madaraka zaidi ya kuendesha nchi kwa misingi ya usawa, uwajibikaji na maendeleo ya kisekta.

Katiba ya Warioba inakosa uhalali kwa sababu hadi sasa ni wanasiasa pekee wanaitumia as turufu.

Katiba ya Wariona ukisoma vifungu vya 62 na 63 vinapingana vyenyewe

Tunahitaji Katiba inayobeba Hatima ya Tanzania na Watanzania na siyo hatma ya viongozi pekee
 
ila haya mambo inawezekana yakawa kweli kwasababu utawala ule nimewahi kushuhudia mzee mmoja pale mtwara mamlaka inamwambia atanyang'anywa korosho zake kama tani 50 alizovuna shambani kwake na atapewa kesi ya ununuaji kangomba kisa tu alikataa kutoa mchango wa mafuta kwa msafara wa CCM mkoa
 
Na yeye alikuwa na Phd fake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…