Simba Mkali JF-Expert Member Joined Jan 31, 2012 Posts 620 Reaction score 239 Feb 15, 2012 #1 Mwanangu kakataa kwenda shule jana nikamuuliza tatizo ni nini... Mwanangu :Baba leo ni Sikukuuu Mimi: Sikukuuu, Sikukuuu gani Mwanangu: Si ile ya wanapendanao... Mimi: Kwahiyo ndiyo huendi shule... Mwanangu: Eeeeh ni Valentine Day
Mwanangu kakataa kwenda shule jana nikamuuliza tatizo ni nini... Mwanangu :Baba leo ni Sikukuuu Mimi: Sikukuuu, Sikukuuu gani Mwanangu: Si ile ya wanapendanao... Mimi: Kwahiyo ndiyo huendi shule... Mwanangu: Eeeeh ni Valentine Day
obi's JF-Expert Member Joined Dec 24, 2011 Posts 233 Reaction score 40 Feb 15, 2012 #2 Mweleweshe hajui
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Feb 15, 2012 #3 yale yale ya mwanaasha.
IKHOIKHOI JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 366 Reaction score 41 Feb 15, 2012 #4 Simba Mkali said: Mwanangu kakataa kwenda shule jana nikamuuliza tatizo ni nini... Mwanangu :Baba leo ni Sikukuuu Mimi: Sikukuuu, Sikukuuu gani Mwanangu: Si ile ya wanapendanao... Mimi: Kwahiyo ndiyo huendi shule... Mwanangu: Eeeeh ni Valentine Day Click to expand... Tunda sawa mti
Simba Mkali said: Mwanangu kakataa kwenda shule jana nikamuuliza tatizo ni nini... Mwanangu :Baba leo ni Sikukuuu Mimi: Sikukuuu, Sikukuuu gani Mwanangu: Si ile ya wanapendanao... Mimi: Kwahiyo ndiyo huendi shule... Mwanangu: Eeeeh ni Valentine Day Click to expand... Tunda sawa mti
Lily Flower JF-Expert Member Joined Oct 16, 2009 Posts 2,553 Reaction score 1,199 Feb 15, 2012 #5 Mamndenyi said: yale yale ya mwanaasha. Click to expand... Heee :shock::shock::shock:
Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,125 Reaction score 7,373 Feb 15, 2012 #6 ukimuacha form 4 atapata MWANAASHA.shauri yako.