Kisa cha vijana wa Wales na vifo vya kujitakia ili kutafuta umaarufu...!

Thanx mkuu kwa stori nzuri yenye mafundisho lukuki
 
Thanks kaka Mtambuzii...unajua apart from all other matatizo,uki'loose self esteem',lazima upate shida....try as much as you can kuibakiza self esteem kwenye level inayopaswa....Mimi huwa siiruhusu kushuka...ingawaje ikizidi ni matatizo,lakini afadhali izidi kuliko kupungua.....

Thanks.......
 
kuna haja ya kutafauta namna ya kutengeza ajira kwa vijana ili kuondoa hali ya kukata tamaa na kuwafanya wawe bisy. tatizo ni kutokuwepo kwa ajira za kutosha matokeo yake vijana wanatumia muda mwingi kwenye mitandao isiyo na faida yoyote.
 
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…