Kisa changu nilipokua mdogo

Ktn shuks

Member
Joined
Jul 21, 2024
Posts
29
Reaction score
109
Wana JF hamjambo mtani samehe kiswahili changu sio fluent. Kwenye mada ni historia yangu nikiwa mdogo. ilinikuta nikiwa darasa la 5 ,2014.

Nilikua mwizi hatari sana wakati uo nilikuwa nime bobea. Nikiwa natumwa naivas mall(kenya) pale kwa caisher kulikuwa na sweets;Orbit, PK,choclate na vitafunio vingine mi nilikua naiba PK ya 25ksh. ilikua mazoea yangu.

Siku moja nikatumwa na mother uko super market iyo siku kama kawaida nikaiba na kuingiza kwenye paper bag baada ya kulipa nikataka kuingiza vitu kwenye mfuko kulikuwa na msaidizi wakusaidia kuweka vitu vya costumer akawa anataka kuziweka nika kataa kwa sababu pk ilikua mle ndani na haikuesabiwa yule msaidizi aka gundua kuwa nimeiba akachukua vitu vyangu akaniambia tuandamane kwenye office hapo moyo ulikua unadunda na kijasho cha tiririka nilipofika offisini niliojiwa kwa takriban nusu saa baada ya pale nilipigwa picha na kuagizwa nilipe iyo PK nilioiba 25ksh na niogeze 25 juu yake baada ya pale walini achilia tangu hapo sijawai fikiria kuiba tena.
 
hivi hii ndo imeisha au ?
 
Watakuchoma moto!
Usiibeeeeeee.

Tumeahidii!
Tumefanya!
Tumeleta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…