Kisa Chid Benz, bifu la Lady Jaydee na Ray C laibuka upyaaaaaa

Jay dee alimzidi Ray c kweny tunzo kwa sababu Ray c alikuwa mtoto wa mjini anayefanya mziki kwa starehe sio kazi kama walivyo wasanii wengi wa kipind ,kam ulikuwa hujui wasanii wengi walikuwa wanafanya mziki kwa umaarufu ili wapush dili zao nyingi ila sio kazi ya kudumu.

Jay dee alikuwa na connection na wakongwe wote wa kwanza kabisa hata media japo walikuja kujitibuana baadae na clouds , wasanii kama k lyinn nae alikuwa anafanya mziki kama starehe sio kazi .
 
HUyo mwenye Joho ni nani?
 
hana marafiki vip?
marafikii zake si wakina edo,oscar,roma,caro ndosi,salama nk
au hadi na urafiki na wewe?
 
ukimuacha sugu jide ni msanii anayeongoza kwa ngoma nyingi.
 
Nd
Ndio na mimi nashindwa kuacha kushangaa,labda hajapona.
 
Ujumbe huu uwafikie mateja wote bila kujali ni wasanii wa muziki,siasa,maisha ama mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…