Kisa Dengue

Kisa Dengue

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,273
Reaction score
13,567
Habari za leo?
Wadau nependa kushare nanyi hili tatizo ninalopata mwenzenu la kunyimwa UNYUMBA na mwandani wangu kisa homa ya Dengue.Mke wangu ni mama wa nyumbani lakini yeye muda wote hufaa mavazi full kuanzia kichwani hadi soksi miguuni,na ikifika muda wa kulala hulala na nguo zake full,nikimuuliza kulikoni anasema anaogopa kung'atwa na MBU anayeambukiza dengue.Yapata mwezi na nusu tangu aanze tabia hiyo,ila hapo nyuma alikuwa akinipa mzigo vizuri tu.

Je wenzangu wakazi wa Dar,wake zenu wana wanyima HAKI ya ndoa kama ninavyonyimwa mimi,au huyu mwandani wangu amepata mtu wa kumtimizia haja zake.???
NB:Mavazi anayovaa wife ni haya pichani.

Naomba msaada wa mawazo na ushauri pia.

Tafadhali usilete UTANI kwenye UZI huu. Dengue.jpg
 
Kapata sababu ya kukunyima unyumba, kuwa makini anachepuka huyo
 
haa huyo atakuwa mgonjwa tena dengue yake itakuwa imeenda straight kwenye papuchi....
 
Habari za leo?
Wadau nependa kushare nanyi hili tatizo ninalopata mwenzenu la kunyimwa UNYUMBA na mwandani wangu kisa homa ya Dengue.Mke wangu ni mama wa nyumbani lakini yeye muda wote hufaa mavazi full kuanzia kichwani hadi soksi miguuni,na ikifika muda wa kulala hulala na nguo zake full,nikimuuliza kulikoni anasema anaogopa kung'atwa na MBU anayeambukiza dengue.
unajua mbu huyu anauma muda gani????.........

Tafadhali usilete UTANI kwenye UZI huu
hapo chini kwenye red ni utani TOSHA...
Habari za leo?NB:Mavazi anayovaa wife ni haya pichani.

Naomba msaada wa mawazo na ushauri pia.

Tafadhali usilete UTANI kwenye UZI huu.View attachment 158172
 
Heee hii kali, kama mungu kampangia kufa kwa dengue atakufa tuu hamna haja ya kufanya hayo yote kwenye ndoa jamani, pia mchunguze vizuri atakuwa na kidumu nje
 
Back
Top Bottom