Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
- Thread starter
-
- #21
mwambie aweke kishimo kwenye nguo zake kama surualli atoboe size ya kinani chako uwe unapitisha hapo
mwambie aje huku mimi nina pain killer ya dengua yake
unajua mbu huyu anauma muda gani????.........
hapo chini kwenye red ni utani TOSHA...
naona umeamua kutuchekesha
Atoboe tundu dogo tu kwenye nguo zake kwa ajili ya kupitisha 'dengue' yako!
ha ha ha ha koh koh koh jamani nimepaliwa duh
Tuache matani kama upo serious niPM basi.!
Ayaaaaaa, aje yeye au mimi?
Hisia itakuwa hamna bila kushika nyama LIVE,nitahisi kama napiga nyeto..!! Asante kwa ushauri mgumu..
sasa si na mbu atamuuma papuchi
Ili iweje? Kwani huna mtu wa kukuchekesha?