Kisa kifo Cha AKA mgahawa wa wish on Florida umeshuka pakubwa kibiashara

Kisa kifo Cha AKA mgahawa wa wish on Florida umeshuka pakubwa kibiashara

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,215
Reaction score
3,035
Uongozi wa mgahawa maarufu huko Darban Afrika kusini WISH pale ambako AKA alipigwa risasi,Baada ya kupata chakula chake Cha mwisho,last supper.

Unatangaza kuufunga mgahawa wa WISH kuanzia tareh 10/4/

Wanatarajia kuwaalika watu mbalimbali kula chakula Cha mwisho unaoitwa last supper kwa ajiri ya kumuenzi rapa AKA

The last supper ni Kama dedication kwa kilicho tokea kwa AKA kwasababu ndipo alipokula chakula chake Cha mwisho.

Uongozi wa Mgahawa wa WISH wanasema.. kutokana na misiba uliotokea mlango kwetu,tumepitia kushuka pakubwa sana kibiashara.

Tokea ulipotokea msiba wa AKA kwenye mgahawa wa WISH wanapata hasara sababu hakuna wateja.

Rest in peace rapper AKA
Screenshot_20230405-110240~2.png
Screenshot_20230405-104450~2.png
 
Back
Top Bottom