Kisa kilichonishangaza kwenye Quran: Mtume Muhammad alibanwa mbavu na Malaika kisa kuishindwa kusoma Quran

Status
Not open for further replies.

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Katika kisa cha kushangaza nimekutana nacho baada ya kuona Post instagram inayosema wazazi wamshtaki Mwalimu wa madrasa kwa kosa la kuwachapa watoto viboko jambo lililopelekea mwalimu huyo kukamatwa na polisi.

Katika kusoma kwangu comment nikakutana na maoni ya mtu mmoja yanasema kuwa Mtume Muhammad mwenyewe alibanwa mbavu kwa kushindwa kutamka maneno ya quran (kiarabu), sembuse hao watoto!

Hii comment ikanifanya niingie chimbo, kufatilia ni kwa nini mtume alipata kipigo kikali kwa kushindwa tu kusoma au kutamka maneno.

Katika sure ya Sahih al-Bukhari, imeelezwa kwamba alipojidhihirisha Malaika Jibril kwa mara ya kwanza kwa Mtume Muhammad katika Pango la Hira, alimuamuru "Soma" (au "Soma kwa sauti"). Mtume Muhammad, akiwa hana elimu ya kusoma, alijibu kuwa hawezi kusoma. Malaika Jibril kisha alimtia mikononi mwake kwa nguvu na kumbana na kurudia amri ya "Soma" mara tatu, kila mara akimshinikiza Mtume kwa nguvu zaidi. Mtume alielezea kuwa alijisikia kana kwamba anashinikizwa na kubanwa kwa nguvu kubwa hadi alihisi kama anakaribia kuzimia kwa kukosa pumzi.
 
Sasa aliambia asome kitabu gani maana hakukuwa na msahafu...zaidi ya maagizo ya mwisho ya mungu kwenye kitabu cha injili.
 
Nyie watoto ambao mmelishwa propaganda na wazungu na hamkufunzwa adabu na wazazi wenu. KUWENI NA ADABU MNAPO MTAJA KIONGOZI WA UMMAH MTUME MUHAMMAD SWALALLAHU ALAIH WASALAM.

Huyo sio binadamu wa kawaida kama binadamu wengine.

Huyo ni mtukufu wa daraja sio naita tu eti mudy boy kizembe hivyo

Acheni ushenzi nyie vijana wa hovyo.! Kwanza hakuna faida yoyote mnapata zaidi ya kuonyesha chuki za wazi kwake alafu hakuna mnachopunguza katika utukufu wake.
 
Hilo tukio la Malaika kumwambia mtume asome, halafu mtume Muhammad ajibu sijui kusoma lilitabiriwa miaka maelfu nyuma katika kitabu cha Isaya kabla hata mtume hajazaliwa.

Screenshot_20250223_195918_com.microsoft.emmx.jpg
 
Yaani una shangaa mtume aliye kuwa binadamu kama ww kubanwa mbavu na malaika, ila wakati huo hushangai Mungu wako aliye pigwa mijeredi ,akavulishwa nguo ,akababwa kwenye msaraba na kuuliwa na binadamu aliye waumba mwenyewe?
Jamaani kila mtu aabudu kitu anacho kiona ni sawa hii mijadala ya kukashifiana kidini ni moja wapo ya upuuzi na ujinga.
 
Umkute shehe aliye nifundisha anaelezea hiyo mada unaweza kudhani alikuwepo "akamwambia iQraa soma ewe Muhammad, Muhammad akawa anauliza nisome nini" 🤣🤣🤣

"umeshikiswa kitabu wenzio wakushikie uchumi"
Dizasta vina: Hatia III
 
Nyie watoto ambao mmelishwa propaganda na wazungu na hamkufunzwa adabu na wazazi wenu. KUWENI NA ADABU MNAPO MTAJA KIONGOZI WA UMMAH MTUME MUHAMMAD SWALALLAHU ALAIH WASALAM.

Huyo sio binadamu wa kawaida kama binadamu wengine.

Huyo ni mtukufu wa daraja sio naita tu eti mudy boy kizembe hivyo

Acheni ushenzi nyie vijana wa hovyo.! Kwanza hakuna faida yoyote mnapata zaidi ya kuonyesha chuki za wazi kwake alafu hakuna mnachopunguza katika utukufu wake.
Alipaa angani?
Au hajawahi kufa?
Sasa huo ubora kuliko wengine kautolea wapi?
Embu acheni hizi siasa zisizo na kichwa au miguu
 
Nyie watoto ambao mmelishwa propaganda na wazungu na hamkufunzwa adabu na wazazi wenu. KUWENI NA ADABU MNAPO MTAJA KIONGOZI WA UMMAH MTUME MUHAMMAD SWALALLAHU ALAIH WASALAM.

Huyo sio binadamu wa kawaida kama binadamu wengine.

Huyo ni mtukufu wa daraja sio naita tu eti mudy boy kizembe hivyo

Acheni ushenzi nyie vijana wa hovyo.! Kwanza hakuna faida yoyote mnapata zaidi ya kuonyesha chuki za wazi kwake alafu hakuna mnachopunguza katika utukufu wake.
Mzee toa jibu acha vitisho kwa vijana, iweje abanwe mbavu! Halafu inamaana huyo aliyembana mbavu hakuwa akijua kwamba mwamba hana elimu ya kujua kusoma?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom