Kisa Malisa, Vijana wa Rombo wamkalia kooni Mbunge wa Rombo

Ume
Umeandika Sahihi kabisa,inabidi wajitofautishe na Kabila.!
 
Akili umeacha nyumbani.
 
Aisee kumbe tuna umoja na sijui au mimi Rombo ya Kenya 😀
 
Nchi hii pia ipo na matatizo na maprof jiusisha na siasa , mpaka wengine wamewahi muita mwenda zake Mungu , pumbavu kabisa , badala ya kuandika vitabu na kuwa washauri wanafanya mambo ya kipumbavu

Prof kabudi ameliangamiza taifa kisa mwenda zake alimtoa jalalani ,na huyu alikua karibu na mwenda zake ,kuanzia makinikia n.k uyu mzee siku akifa ajizike mwenyewe.

Kabudi alitugeuka watz na kutusaliti kipindi cha mwendazake , itoshe sema tz tupo na watu wabinafsi sana pale wapato fulsa
 
Viwaro siyo chadema mkuu, na kama ni ukabila basi hata huyo mkenda si ni mchagga mwenzao? Tena mrombo wa kwao kabisa? Na kwa taarifa yako VIWARO ina wana ccm wengi kuliko wa chadema, labda tuseme kuwa hii ni vita ya kifamilia.
 
huyu profesa arudi tu kufundisha
 
Mkuu watu wameshawachoka, ndio maana wanatoa hizo siri. hadi SMS zake watu waliziona
Kama wewe si mmoja wa watu walioona hizo SMS ni heri usizungumze, mkuu.
Tuongee vitu ambavyo tuna ushahidi navyo.
 
Romeo si ndio kule kwenye walevi wa kuanguka mpaka wake zao wanatafuniwa na wanaume wa nchi jirani ya Kenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…