Si wanapeana kazi acha wapigweNaona Mtendaji alikua nae anakula keki ya Taifa kwa upande wake.!π
Huyu hakuwapa mgao wenzake.Wakuu,
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi mkoani Songwe imemhukumu kifungo cha miaka 20 gerezani aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kata ya Mbuyuni baada ya kumkuta na hatia ya uhujumu uchumi.
Afisa Mtendaji huyo, Assan Jacob anadaiwa kukusanya Shilingi milioni sita kutoka kwa wananchi 200 wa kata hiyo kwa ahadi ya kuwasaidia kuwekewa umeme wa REA kisha kuzitumia pesa hizo kwa mahitaji binafsi.
Madhara ya nepotism hayoKuna watu watasema mbona vigogo wanaachwa, lakini jiulize mtu wanaachi wanaolipa elfu 27 uwatoze watu 200 je kawaumiza kiasi gani?
Isivyo Bahati Keki Imemkwama Kooni Imeshindwa Kushuka TumboniNaona Mtendaji alikua nae anakula keki ya Taifa kwa upande wake.!π
Hakuna cha mgao anza kutafuta mzizi utamwelewa vizuriHuyu hakuwapa mgao wenzake.
Tena vigogo wenzao wanadiriki kuomba waombewe?!mbona majoka yanayotajwa kwenye ripot za CAG hafungwi. wao wanadeal na vidagaa tu