kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,113 Reaction score 8,610 Jan 31, 2025 #21 strongest said: mbona majoka yanayotajwa kwenye ripot za CAG hafungwi. wao wanadeal na vidagaa tu Click to expand... Wanakula with technicalities... ukienda mahakamani fine 60,000 anaendelea na maisha.
strongest said: mbona majoka yanayotajwa kwenye ripot za CAG hafungwi. wao wanadeal na vidagaa tu Click to expand... Wanakula with technicalities... ukienda mahakamani fine 60,000 anaendelea na maisha.
M movirwa Senior Member Joined Sep 9, 2024 Posts 144 Reaction score 145 Jan 31, 2025 #22 dingihimself said: Naona Mtendaji alikua nae anakula keki ya Taifa kwa upande wake.!🙄 Click to expand... Hakujua wanakulaje
dingihimself said: Naona Mtendaji alikua nae anakula keki ya Taifa kwa upande wake.!🙄 Click to expand... Hakujua wanakulaje
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jan 31, 2025 #23 Kuna mafisadi yanaiba mabilioni ya umma lakini yanalindwa na kuitwa waheshimiwa
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jan 31, 2025 #24 kijani11 said: Wanakula with technicalities... ukienda mahakamani fine 60,000 anaendelea na maisha. Click to expand... Hayo yanaiba kutokea juu
kijani11 said: Wanakula with technicalities... ukienda mahakamani fine 60,000 anaendelea na maisha. Click to expand... Hayo yanaiba kutokea juu
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Jan 31, 2025 #25 Tanzaniaaa we ibaaaa hela nyingi mamilion kwa mabilion hufungwi Ova
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Jan 31, 2025 #26 Huyu kala pekee yake angegawana na wenzake Yasingemkuta Ova
H Hubble Telescope JF-Expert Member Joined Jan 30, 2025 Posts 426 Reaction score 527 Jan 31, 2025 #27 Safi sana