Wakuu
Nisipotimiza malengo yangu niliyopanga nakuwa stressed sana sijui sababu nini mfano nikipanga naenda kukimbia kilomita tano nikaishia mbili nakuwa stressed hadi sijielewi,pia nikipanga mipango flani ikashindikana hivyohivyo,vp wakuu nina tatizo kisaikolojia