Kisaikolojia, wanawake wengi huvutiwa zaidi na wanaume wakorofi (wababe)

"Kisaikolojia, wanawake wengi huvutiwa zaidi na wanaume wakorofi (wababe) kwa sababu huamini wanaweza kuilinda familia pamoja na kumlinda yeye mwenyewe."

πŸ˜‚
Angalieni msije ponza miili yenu
Kuna ukorofi na ukorofi wa kijinga. Usiombe ukakutana na mwanaume ambaye ni mkorofi halafu mjingaπŸ™ŒπŸ™Œyaani ukiona kitu anachokifanyia ukorofi hadi unajiuliza hivi huyu amechanganyikiwa au?
 
Kuna ukorofi na ukorofi wa kijinga. Usiombe ukakutana na mwanaume ambaye ni mkorofi halafu mjingaπŸ™ŒπŸ™Œyaani ukiona kitu anachokifanyia ukorofi hadi unajiuliza hivi huyu amechanganyikiwa au?
Baby mimi ni mkorofi ila huwa nachoma watu wanaonisumbua vidagger vya mapaja kama akina Maghayo zaidi ya hapo huwa nakuwa ni mpole kama uji unaopoa.
 
Umekosea

Kisaikolojia wanawake wanapenda wanaome ambao wakorofi ila sio kwasababu hio ya kulinda familia, kuhusu sababu hao wenyewe hawana na hawajui kwanini kwasababu ukimuuliza mwanamke yeyote atakwambia anataka mwanaume mtulivu anaywmjari ila bite down binaural tofauti.

Hili ni suala la Kisaikolojia zaidi tu tunaweza sema kwasababu akili za mwanamke hazipendi utulivu zinapenda (Disruption) muda wote na kuumizwa na kutoa mchozi ndio kuna trigger upendo kwa yaani kila uki muumiza mwanamke mwili wake unazalisha Hormones za upendo.

Hii hata wanawake wenyewe hawajui saikojia yao ilivyo complex ila inajitonesha kwa vitendo.
 
Kwahiyo sisi warefu weusi, wenye mwili flani na hela hawatutaki tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…