X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,605
- 1,843
Mahitaji
Kisamvu ....................................................... 2 vikombe
Kunde mbichi zilizochemshwa .............. 1 kikombe
Kitunguu ........................................................ 1
Nazi nzito iliyochujwa ................................ 1 vikombe
Chumvi........................................................... Kiasi
Namna Ya Kutayarisha/Kupika
Weka kisamvu katika sufuria, katia kitunguu, tia chumvi, maji kidogo acha kichemke.
Huku ikichemka mimina kunde mbichi zilizochemshwa acha zipikikie kidogo mpaka kisamvu kikaribie kukauka na kunde kuiva.
Mimina nazi nzito punguza moto acha ichemke kidogo, mimina kwenye bakuli tayari kwa kuliwa. (Wengine uweka sukari kidog kuongeza radha)