Chillah JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 9,491 Reaction score 10,859 Jan 23, 2019 #1 Wilaya ya kisarawe ina toa huduma ya Miti/miche ya aina mbalimbali... kwa mahitaji ya miti fika katika vitalu/vituo tajwa hapo kwenye website ya wilaya MNA karibishwa nyote... kumbuka haiuzwi ni bure... Announcement | Kisarawe District Council Sent using Jamii Forums mobile app
Wilaya ya kisarawe ina toa huduma ya Miti/miche ya aina mbalimbali... kwa mahitaji ya miti fika katika vitalu/vituo tajwa hapo kwenye website ya wilaya MNA karibishwa nyote... kumbuka haiuzwi ni bure... Announcement | Kisarawe District Council Sent using Jamii Forums mobile app
Tape measure JF-Expert Member Joined Nov 26, 2015 Posts 1,990 Reaction score 3,701 Jan 23, 2019 #2 Miti nipande mwenyewe ikifika muda wa kuvuna nikaombe kibali pengine ninyimwe Pandeni mashambani mwenu wenyewe Mimi nitapanda mazao mengine sio miti Sent using Jamii Forums mobile app
Miti nipande mwenyewe ikifika muda wa kuvuna nikaombe kibali pengine ninyimwe Pandeni mashambani mwenu wenyewe Mimi nitapanda mazao mengine sio miti Sent using Jamii Forums mobile app
Nyange JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 3,517 Reaction score 1,869 Jan 23, 2019 #3 Miti gani mkuu? mi ninayo mashamba zegero taja aina ya miti kama kuna kariptusi na mitiki ntakuja faster
Miti gani mkuu? mi ninayo mashamba zegero taja aina ya miti kama kuna kariptusi na mitiki ntakuja faster