Pfizer
JF-Expert Member
- Mar 25, 2021
- 590
- 807
SIKU YA WAZEE DUNIANI 1 OCTOBER 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti jana aliandaa Chakula cha Mchana na wazee zaidi ya 300 ktk Ikulu ndogo ya Kisarawe kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na katika Hafla hiyo Mgeni Rasmi alikuwa Dkt. Suleiman Jaffo-Waziri wa Viwanda na Biashara lakini pia Mbunge wa Jimbo la.Kisarawe
Wageni Wengine walikuwa Mtume Mwamposa ,Shekhe wa Mkoa wa Pwani Abbas, Kamati ya Amani Wilaya ya Kisarawe, Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, LT.COL Kombo, Watendaji wa kata 17 Wilaya ya Kisarawe na wadau Mbali Mbali.
Rais Samia amekuwa na Utaratibu wa kuonana na Wazee kila Mkoa na wilaya anapokuwa Ziarani hivyo Mkuu wa Wilaya Kisarawe amekuwa akitekeleza nakuzingatia Maelekezo ya Mh.Rais Samia