Kisarawe, Pwani: DC Nikki wa Pili atoa hatimiliki za kimila kwa Ranchi 24

Hiyo kazi ya mtangulizi wake! japo Temeke hawajua umahiri wake! Watamkubali tu
 
Acheni ishabiki, mpaka anazigawa ina maana kazi imefanyika muda tu. Hichi tunachoona ni product ya kazi ambazo Joketi kafanya na watumishi wa kisarawe. Yale yale ya uchumi wa kati kumbe kazi ilifanyika awamu zklizopita kabla ya awamu ya tano. Tuangalie na kutambua kazi zilizofanywa na watangulizi wa kiongozi husika kabla ya ushabiki
 
Hatua moja wapo kubwa sana katika process za kuatatua mgogoro wa wakulima na wafugaji. kila mtu apewe sehemu ya kufanyia shughuli yake .so akihama awe mchokozi.ila pia wawekewe na miundombinu mingine inayohitajika kwa wafugaji
 
Nikk awafundishe na wakuu wake wa idara namna ya kuvuta bange na kutafuna gomba ili kazi iendelee
 
Aangali na swala la usalama kale kamdada kalishindwa kabisaa mifugo yetu inaibiwa sana na wamangati.
 
Bado sijakuelewa unataka kusemaje
 
Sasa maDC 139 kila mmoja akija kujipigia promo humu JF hapatakalika.
Alianza kujisifia humu tangu anajenga nyumba Goba akaleta na picha ya nyumba ,huyu jamaa anatafuta attention sana
 
Alianza kujisifia humu tangu anajenga nyumba Goba akaleta na picha ya nyumba ,huyu jamaa anatafuta attention sana
Hivi hiyo nyumba iko Goba au Salasala ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…