Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 594
- 291
wanafunzi wa shule tofauti za dsm zimechoka na tabia ya wanafunzi wa kisarawe secondary.Wanafunzi wa kisarawe wanazidi kuiba mabegi na nguo za wanafunzi walioenda kwenye easter conference ktk shule hiyo.Baadhi ya wanafunzi wameamua kurudi makwao kwa sababu hawana chochote zaidi ya nguo walizo vaa! inashangaza sana wasichana wa kisarawe kuwaibie wageni wao hadi nguo za ndani!!!