johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nafikiria namna Nduli Iddi Amin alivyosumbua hadi ikalazimu kutumwa Jeshi nchini mwake likamshughulikie huku Watu Wengi wakipoteza maisha
Nimeshangaa Leo kusikia kifaa kimerushwa Tel Aviv na kwenda Moja kwa Moja kuuwa Mlengwa aliyeko Tehran Iran
Kisayansi hii imekaaje?
Kibongo bongo wanarushaga majini tu
Mlale Unono 😀🔥
Nimeshangaa Leo kusikia kifaa kimerushwa Tel Aviv na kwenda Moja kwa Moja kuuwa Mlengwa aliyeko Tehran Iran
Kisayansi hii imekaaje?
Kibongo bongo wanarushaga majini tu
Mlale Unono 😀🔥