johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yani linanusa harufu ya mhusika kwa kutumia DNA?Yah ipo hyo sku hizi bomu linatumwa likiwa na uwezo wa kwenda km kadhaa na pia linakuwa na DNA za mhusika so linamfata mhusika tu.
Na bomu hilo linaweza rushwa direct from israel au kubebwa na drone
Kama yale Yanga walikuwa wanamrushia Mayele huko MisriNafikiria namna Nduli Iddi Amin alivyosumbua hadi ikalazimu kutumwa Jeshi nchini mwake likamshughulikie huku Watu Wengi wakipoteza maisha
Nimeshangaa Leo kusikia kifaa kimerushwa Tel Aviv na kwenda Moja kwa Moja kuuwa Mlengwa aliyeko Tehran Iran
Kisayansi hii imekaaje?
Kibongo bongo wanarushaga majini tu
Mlale Unono ππ₯
Huyu naye kaja na chumvi zake, bomu halifuati Dna za mtu, linafuata target, ndiyomaana mtego wa panya umenasa na wasiohusika.Yani linanusa harufu ya mhusika kwa kutumia DNA?
AU WANAJUA TARGET ALIPO NA KULIPUA MAHALI HAPO?
Huwa linakuwa linamfuatilia mhusika kupitia harufu ya kinyesi cha mhusika, ikitokea mhusika hata kanyampa tu, hapo hujifyatua.Yah ipo hyo sku hizi bomu linatumwa likiwa na uwezo wa kwenda km kadhaa na pia linakuwa na DNA za mhusika so linamfata mhusika tu.
Na bomu hilo linaweza rushwa direct from israel au kubebwa na drone
Kwani google huwa mbaitumia kwa kazi gani au ndo kuangalia porn asubuhi mpka jioniHuyu naye kaja na chumvi zake, bomu halifuati Dna za mtu, linafuata target, ndiyomaana mtego wa panya umenasa na wasiohusika.
Kaenda na watu waliokuwa karibu yake.
Tunaangaliaga tu porn, subuhi hadi jioni.Kwani google huwa mbaitumia kwa kazi gani au ndo kuangalia porn asubuhi mpka jioni
John kwa nini usitulie ukalea wajukuu,ukihangaika na mambo makubwa haya utasahau hata kujihudumia vyema na kapensheni kako.Nafikiria namna Nduli Iddi Amin alivyosumbua hadi ikalazimu kutumwa Jeshi nchini mwake likamshughulikie huku Watu Wengi wakipoteza maisha
Nimeshangaa Leo kusikia kifaa kimerushwa Tel Aviv na kwenda Moja kwa Moja kuuwa Mlengwa aliyeko Tehran Iran
Kisayansi hii imekaaje?
Kibongo bongo wanarushaga majini tu
Mlale Unono ππ₯
DNA, blood group and body scents, vyote hivi hufuatwa na makomboraYani linanusa harufu ya mhusika kwa kutumia DNA?
Ukiuwa viongozi inachukua muda kufanya mobilization mpyaLeo naona Israel kapiga target 3 na zote zimeua..jioni hii ameuawa kamanda wa anga wa Iran Huko Damascus Syria, Acha tuombe MUNGU maana kuna vita kubwa inakuja
Makombora ya Masada ya mbali yatasaidia tu kumdhoofisha adui, ila kuteka na kudhibiti eneo husika lazima askari wafike.Nafikiria namna Nduli Iddi Amin alivyosumbua hadi ikalazimu kutumwa Jeshi nchini mwake likamshughulikie huku Watu Wengi wakipoteza maisha
Nimeshangaa Leo kusikia kifaa kimerushwa Tel Aviv na kwenda Moja kwa Moja kuuwa Mlengwa aliyeko Tehran Iran
Kisayansi hii imekaaje?
Kibongo bongo wanarushaga majini tu
Mlale Unono ππ₯
ππππlinamtafuta yeye tu... Asee wenzetu wako mbali sanalinakuwa na DNA za mhusika so linamfata mhusika tu.
Inawezekana zamani tulisoma kwenye soma la physics kuhusu projectiles japo kiuhalisia sasahivi dunia ni kijiji yaani iko kiganjani kuna mawakala kote duniani wakapewa kazi kwa makubaliano ya malipoNafikiria namna Nduli Iddi Amin alivyosumbua hadi ikalazimu kutumwa Jeshi nchini mwake likamshughulikie huku Watu Wengi wakipoteza maisha
Nimeshangaa Leo kusikia kifaa kimerushwa Tel Aviv na kwenda Moja kwa Moja kuuwa Mlengwa aliyeko Tehran Iran
Kisayansi hii imekaaje?
Kibongo bongo wanarushaga majini tu
Mlale Unono ππ₯
Kwann Israel ikipiga haikosei!? Iran ilirusha zaidi ya 300 lakini hata moja halikulengaLeo naona Israel kapiga target 3 na zote zimeua..jioni hii ameuawa kamanda wa anga wa Iran Huko Damascus Syria, Acha tuombe MUNGU maana kuna vita kubwa inakuja