Kisayansi kiwango kikubwa cha ufikiri inawezekana viumbe vyote vikawa vina mfumo kama betri inavyo ishi na umri au kushindwa kufikisha umri

Kisayansi kiwango kikubwa cha ufikiri inawezekana viumbe vyote vikawa vina mfumo kama betri inavyo ishi na umri au kushindwa kufikisha umri

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Katika project ambazo zinanipa kutafakari ni kuhusu uhai ambao kama dunia unaweza ukafikiria.

Physics na kemia kuna kitu kinaitwa ukomo wa kitu sana sana unaegemea kwenye kemea kuhusu mada za atomic na chemikali.

Mfano kuna atomic ambazo zilizo tengeneza hydrogen kwa wanasayansi katika periodic table ndio mama.
Hii hydrogen ndio inaweza kuwa alpha na omega kwa haya yote mpaka mpunzi zetu na mengine.

Upande wangu wangu ambao nataka kueleza kiumbe ni nishati ambacho bila mwanga kinaweza kuzorota au umeme halisi.

Umri wa mtu ni nishati inayotegemea haya kama ikishindwa kusaidiwa basi ugeuka kuwa kitu kingine.

Mfano chakura kiingia kwa mnyama kikitoka kina kuwa mbolea.

Ukifa au mmea kufa unakuwa faida ya wa wengine.

Tambua binadamu sisi ni kama mabetri yanayo taka umeme asili ndani ya kemikali tulizo nazo na uwezo wa kuziitaji.

Zikishindikana ndio mwanzo wa magonjwa ambayo leo uchangia wengi kufa haraka.

Hii ni project ya utafakari.

Kumbuka:utafakari sio kuanza kujua kosa la kuandika
 
Ni chakula. Na sio chakura.

Huu utumbo ulioandika hata kama ni supu haiwezi kufaa kwa "chakura" chochote.

Hebu soma tena halafu mtumie mwalimu wako wa vidudu akuelezee nishati ya wadudu kwenye "chemia" ya viumbe
 
Back
Top Bottom