NONGWA
Senior Member
- Mar 10, 2012
- 142
- 116
Wanasheria nawadau wengine naomba kuelezwa vizuri baada ya kuowa ni miaka miwili sasa lakini tunavutana na mke wangu kutumia jina langu la ukoo anapenda kutumia jina langu la kwanza kuliko la pili. sasa naomba kueleweshwa mnapokuwa mume na mke kwa mfano naitwa JOHN NONGWA mke wangu anataka aitwe MRS Mary John na sio MRS Mary NONGWA. na mimi kama mwanaume napenda jina langu la ukoo ndio litumike zaidi kuliko jina langu la kwanza hiyo imekaaje???