AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Mwanaume kulilia mgao wa mali hasa kujidai umezichuma wewe na mkeo nao ni upumbavu, mwanaume unaweza tafuta hata mali nyingine baada ya kuachanaMwanamke anapoachika au kupewa talaka kisheria ipo hivi
(1) Una Haki Na Mali Mlizochuma Pamoja; Hiki ni kitu cha kwanza ambacho unatakiwa kukifahamu, kuwa kama mkewe una haki ya kila mali mlizochuma pamoja, mali hizi ni zile za kuhamishika na ambazo si zakuhamishika...
kisukuma tunamuita mpwaMtoto wa sister wako sio uncle wako ni niece kama wa kike au nephew kama wa kiume.
Badilika kwenye hilo, mnawaharibu sana watoto kuwaita uncle sijui aunt badala ya niece au nephew
Mwanaume kulilia mgao wa mali hasa kujidai umezichuma wewe na mkeo nao ni upumbavu, mwanaume unaweza tafuta hata mali nyingine baada ya kuachana
Unakifahamu kisa cha mfalume JUHA? Basi Ndio wewe. Sema chochote, kosoa, changia, fafanua etc. Bora yeye kajitahidi kumsaidia mleta mada. Wewe unabwabwaja tu.Wewe bwana mdogo wacha kupiga makelele mitandaoni!...
Point, sio kila MTU ana access na professionalzUnakifahamu kisa cha mfalume JUHA? Basi Ndio wewe. Sema chochote, kosoa, changia, fafanua etc. Bora yeye kajitahidi kumsaidia mleta mada. Wewe unabwabwaja tu. Unajua mazingira za sehemu za periphery ambako unaweza kijiji kizima Hamna mtu anayeelewa hayo ma law chambers yenu? What about the legal fees?
Ni ngumu kwanini iwe ngumu, tusiendekeze sana tamaa ya mali chief, unamuachia tu na isitoshe utafutaji wa mwanaume na mwanamke hutofautiana mwanaume anaweza kuparangana tu, ni vyema unamuachia tu mbona mali tunakufa tunaziacha ni nini kisumbue sasa kichwa,Chief, inategemea kama bado kijana na nguvu unazo unaweza kutafuta mali nyingine ila wakati mwingine mnaachana umri umeenda, halafu pia inategemea na aina ya mali mfano kama mmenunua kitanda na godoro pamoja, mkiachana unaweza kupotezea lakini kama mlifungua mashamba ya mabilioni eti umuachie ukaanze upya, hiyo ni ngumu kwa kweli.
Mimi nauliza kama hawajafunga ndoa na mwanamke aneshapata mimba na haijafika miaka miwili alafu mume amemuacha mke hapo haki ya mke ikoje?Hii ya kuishi ‘nyumba moja’ kama wanandoa kwa miaka miwili mfululizo, vipi hizi nyumba za kupanga tunaohama kila kukicha!!!
Siku hizi ndoa zote migogoro inaenda ustawi wa jamii ilikupata tiketi ya kwenda mahakamani ili kudai mali,swali hapa ni je mke akiwa muajiliwa na mume sio muajiliwa sasa hapo watagawana pia mshiko uliopo bank kama zao la mke?Mwanamke anapoachika au kupewa talaka kisheria ipo hivi...
Kama kiingereza ni taab bas tumia kiswahili tu.... nephew/niece= MWALIMUHahaa shukrani sana chief nitajitahidi kujizoesha majina hayo japo kibongo bongo majina hayo nimageni sana nani aghalabu kukuta sehemu wanatumia majina hayo naukikuta basi hao ni full mabasi yanjano
MPWAKama kiingereza ni taab bas tumia kiswahili tu.... nephew/niece= MWALIMU