Kisheria, Rais anabaki kuwa Rais wakati wa uchaguzi?

Kisheria, Rais anabaki kuwa Rais wakati wa uchaguzi?

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
355
Nataka kujua, Je, wakati wa kipindi cha uchaguzi, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania huwa anabaki kuwa Rais au hujivua urais kwenye kipindi cha uchaguzi mkuu?

Kwa sababu na yeye huwa mgombea, kama serikali huwa kipindi cha mpito,

Nani huwa rais wa nchi?
 
Back
Top Bottom