Nataka kujua, Je, wakati wa kipindi cha uchaguzi, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania huwa anabaki kuwa Rais au hujivua urais kwenye kipindi cha uchaguzi mkuu?
Kwa sababu na yeye huwa mgombea, kama serikali huwa kipindi cha mpito,
Nani huwa rais wa nchi?