Kishindo cha awamu ya 5 kinavyoinyanyasa Mombasa

Kishindo cha awamu ya tano! Yaani ni kama title ya zile filamu zenu za ajabu ajabu za bongo movie. Mngeongeza na..... A Fisiemu Propaganda Prod. Meanwile, bandari ya Mombasa inaendelea kuhudumia wakazi wa Tz kaskazini na takwimu zinaashiria kwamba biashara bandarini inaendelea kunoga.
 
Ni maumivu ya kutosha ukiona namna the regional giant roaring across the continental battlefield

Nasikia Lamu 3 little berths imetunukiwa heshima ya kuwa the largest port in Africa 😂😂😂😂

Hii port mpya itafanywa launch lini?
 
Kishindo cha awamu ya tano! Yaani ni kama title ya zile filamu zenu za ajabu ajabu za bongo movie. Mngeongeza na..... A Fisiemu Propaganda Prod. Meanwile, bandari ya Mombasa inaendelea kuhudumia wakazi wa Tz kaskazini na takwimu zinaashiria kwamba biashara bandarini inaendelea kunoga.
Mbona Dar inahudumia Kenya?
 
Kaskazini ipi wakati train za Tanga - Moshi hadi Arusha zimeanza rasmi, endeleeni kuota.
 
Wakati Djibouti juzi kati imezindua bandari kubwa sana inayolenga South Sudan, Somalia na Ethiopia, na mpaka saivi baada ya uzinduzi mizigo yote ya Ethiopia, South Sudan and Somalia inaelekezwa Djibouti

Lamu na Mombasa kifo cha mende

Wivu wa kiume huo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Endeleeni kuomboleza(bagamoyo)

nyie biashara mliyoweza pata ni ya mkaa Kismayu ile port Lamu itahudumia mkaa na sukari mbovu kutoka na kuingia Kismayu! maana ndo biashara pekee mko nayo sure in EA!
 
Hebu acheni porojo, turudi kwa takwimu ya mizigo inayopita bandari ya Mombasa. Alafu mlinganishe na bandari zote za Tz kwa pamoja.
 
Hahaha ,wanachekesha hawa wajinga .Yaani mnafurahia kushindana na kukaba wizi mkubwa katika port ya Dar?

What does that say about your thieving society and your port officials lacking integrity/professionalism?
 
Anaanzisha thread anafikiria ata change mindset za watu kutoka kwa Ndege iliyo lock up SA.

Tangu ndege ikamatwe jamaa kaanzisha nyuzi kwa fujo, mara UDOM ndio best Africa, mara kishindo cha awamu ya tano....tatizo ni kwamba mkulima ameshikilia ndege na haachi hadi alipwe. Kule jukwa la siasa naona Watanzania wamewaka moto wanataka ndege yao, sasa sihani kama MaCCM hutumia akili wakati wanafikiria hizi hizi nyuzi zitapunguza kishindo.
 
Back
Top Bottom