Hii port mpya itafanywa launch lini?
Ni maumivu ya kutosha ukiona namna the regional giant roaring across the continental battlefield
Nasikia Lamu 3 little berths imetunukiwa heshima ya kuwa the largest port in Africa ππππ
Mbona Dar inahudumia Kenya?Kishindo cha awamu ya tano! Yaani ni kama title ya zile filamu zenu za ajabu ajabu za bongo movie. Mngeongeza na..... A Fisiemu Propaganda Prod. Meanwile, bandari ya Mombasa inaendelea kuhudumia wakazi wa Tz kaskazini na takwimu zinaashiria kwamba biashara bandarini inaendelea kunoga.
Kaskazini ipi wakati train za Tanga - Moshi hadi Arusha zimeanza rasmi, endeleeni kuota.Kishindo cha awamu ya tano! Yaani ni kama title ya zile filamu zenu za ajabu ajabu za bongo movie. Mngeongeza na..... A Fisiemu Propaganda Prod. Meanwile, bandari ya Mombasa inaendelea kuhudumia wakazi wa Tz kaskazini na takwimu zinaashiria kwamba biashara bandarini inaendelea kunoga.
Wakati Djibouti juzi kati imezindua bandari kubwa sana inayolenga South Sudan, Somalia na Ethiopia, na mpaka saivi baada ya uzinduzi mizigo yote ya Ethiopia, South Sudan and Somalia inaelekezwa DjiboutiKaskazini ipi wakati train za Tanga - Moshi hadi Arusha zimeanza rasmi, endeleeni kuota.
Wakati Djibouti juzi kati imezindua bandari kubwa sana inayolenga South Sudan, Somalia na Ethiopia, na mpaka saivi baada ya uzinduzi mizigo yote ya Ethiopia, South Sudan and Somalia inaelekezwa Djibouti
Lamu na Mombasa kifo cha mende
nyie biashara mliyoweza pata ni ya mkaa Kismayu ile port Lamu itahudumia mkaa na sukari mbovu kutoka na kuingia Kismayu! maana ndo biashara pekee mko nayo sure in EA!Wivu wa kiume huo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Endeleeni kuomboleza(bagamoyo)
Bagamoyo hata serikali ikiitaka leo ujenzi unaanza
nyie biashara mliyoweza pata ni ya mkaa Kismayu ile port Lamu itahudumia mkaa na sukari mbovu kutoka na kuingia Kismayu! maana ndo biashara pekee mko nayo sure in EA!
Anaanzisha thread anafikiria ata change mindset za watu kutoka kwa Ndege iliyo lock up SA.Ndege itasaabisha muanzishe kila aina ya nyuzi ili kufunika, lakini Watanzania wanadai ndege yao....hehehe
Anaanzisha thread anafikiria ata change mindset za watu kutoka kwa Ndege iliyo lock up SA.