gyeetitus
Member
- Dec 16, 2016
- 86
- 39
Bila shaka mwana JF upo salama salmini.
Leo sasa hebu tuangalie ni namna gani katika hatua ya makundi (league 1) ikiwa real Madrid itaanza mechi yake kwa mwaka huu 2018 ikicheza na numancia baada ka kupoteza mechi pendwa ya mwaka Jana mwishoni baina ya Barcelona kwa kufungwa 3-0.lakini pia Barcelona inajiimarisha kufuzu ubingwa kwa kuanza kucheza na celta Vigo Leo pia.
Toa ubashiri wako juu ya mechi hizi zinazocheza usiku huu