Mkuu uko Ibiza ama catalan kabisa?Barcelona tunachukua makombe yote msimu huu, hatuachi kitu
Nipo huu mtaa wa La Rambla De Barcelona, ni fujo mkuuMkuu uko Ibiza ama catalan kabisa?
Ndio celta vigo stashindwaKwa hiyo unataka kusema game ya Leo atashindwa?
Mkuu Club booora kuwahi kutokea duniani haiwezi fungwa na hao wakata mkaa Celta VigoMkuu sijakuelewa vyema watashinda au watashindwa?
Mkuu jamaa kakosea ila ungemuelewesha bila kumvunjia heshimaTatzo umeandika kama unafi . ...rwaa
Hongera mkuu,mwambie Iniesta atapimwa mkojo.mkuu.Nipo huu mtaa wa La Rambla De Barcelona, ni fujo mkuu