Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Yes...Niliipata taarifa hii kama 4days ago, kutoka kwa jamaangu mwanachuo!Gazeti la kila siku la Tanzania Daima limeripoti leo ya kuwa Chuo cha Monduli kimefungwa kutokana na kampeni ya Dr. Slaa ambayo imeonyesha kwa uwazi ya kuwa wanafunzi hapo chuoni watakipigia kura Chadema na Dr. Slaa.
Hizi ni njama nyingine za CCM, JK na Lowassa za kuchakachua matokeo ya kura kwa kuwazuia wapigakura wasiweze kutumia haki yao ya kidemokrasia ya kupiga kura................maana wengi wao walijiandikisha kupiga kura hapo Monduli sasa wanalazimika kwenda makwao ambako hawataweza kupiga kura kwa sababu hawajajiandikisha huko......
Yes...Niliipata taarifa hii kama 4days ago, kutoka kwa jamaangu mwanachuo!
Na kimsingi sababu ni hiyohiyo kama ilivyoainishwa hapo juu!...Ni mambo ya aibu sana, lakini hayawezi kubadili nyoyo za wapiga kura!
Wanajisumbua!
Nanyi wanachuo zugeni hapahapa Arusha hadi 31/10, mmalize kazi!
Dah!
Kweli sisiemu wamechoka. Kuna siku hiki kizazi kinachoteseka na haya madudu ya sisiemu watachukua hatua zisizo za kawaida kudai haki yao ya kikatiba ya kupiga kura. Siko hiyo yaja.
inakuwaje mambo ya muhimu ya nchi kama vyuo kuhusiswa na siasa, jamani yaani hatutakuwa sirius hata mala moja, tutenganishe siasa na utendaji! Kweli tunahitaji katiba mpya yaani mkuu wachuo unaambiwa funga chuo unafunga simple like that!?? Siasa ikitofautishwa na utendaji ndiyo tutaendelea sasa vyuo vikuu vyote vimefungwa kisa uchaguzi why!?? Haiwezekani mambo mengine yakaendelea?ccm bwana ...... Full kuweweseka!!!! Kazi ipo!!!!
Chuo gani hiki? Ni kile cha Military Academy au?
Sababu ya kufunga ni ili kile kituo kiwe nullified...! Hivyo, hata wakizuga masanduku na makaratasi ya kupigia kura hazitaletwa kwenye kituo...! Nadhani dawa ni kuchukua kama fundisho ili for the next time wanavyuo vyote wajiandikishe kwenye vituo nje ya vyuo, lakini vya karibu na vyuo vyao...! Ili wakifunga wawe na uwezo wa kuzuga, na bado wakaweza kufika kwenye vituo vyao...!Nawasihi wasiondoke hapo wazuge hapa mjini Arusha mpaka tarehe 31/10 na wakimaliza kumbwaga mtu waende makwao